Rekodi mauzo, fuatilia stoku, simamia madeni, na pokea ripoti — kila kitu sehemu moja. Kwa maduka ya kisasa ya Afrika.
Uza Haraka
Sekunde 10 kufanya mauzo. Inafanya kazi bila mtandao.
Data Salama
Encryption ya kisasa. Backup kila siku.
Ripoti Kiotomatiki
Faida ya kila siku kupitia email na WhatsApp.
Simamia Duka Lako Kidigitali.
© 2026 DukaOS Systems