Mfumo wa Duka wenye AI

Simamia Duka Lako
Kidigitali na AI

Mauzo. Stoku. Deni. Faida. Yote katika mfumo mmoja rahisi — na msaidizi wa AI anayekusaidia kufanya maamuzi bora. Kutoka simu yako.

Jaribio la bure siku 14Data yako salamaInafanya kazi bila internet
dukaos.com/dashboard

Habari, Amina!

Jumapili, 20 Aprili 2026

+ Uza Sasa

Mauzo Leo

450,000

+12%

Faida

130,000

28.9%

Deni

1.25M

23 wateja

Mauzo — Wiki Hii

JmtJmtJmnAlhIjmJmsJpi
Duka la VyakulaDuka la NguoStesheni ya MafutaPharmacyDuka la VifaaSaluniMini MarketDuka la ElektronikiDuka la VipodoziDuka la VyakulaDuka la NguoStesheni ya MafutaPharmacyDuka la VifaaSaluniMini MarketDuka la ElektronikiDuka la Vipodozi
35+

Maduka

24+

Vipengele

Bure

Kuanza

2 dk

Kusajili

Vipengele

Kila kitu unachohitaji
katika mfumo mmoja

Mauzo ya Haraka

Mteja amefika, tap bidhaa, chagua malipo — sekunde 10 umemaliza. Kash, M-Pesa, au deni.

Simamia Stoku

Jua una Fanta ngapi dukani na godowni. Ukipungukiwa, utaarifiwa moja kwa moja.

Fuatilia Deni

Kila shilingi ya deni imerekodiwa — nani, lini, kiasi gani. Tuma ukumbusho kwa SMS.

Ripoti Wazi

Uza siku nzima, jioni angalia faida halisi. Hakuna kukisia.

Timu Yako

Mwenye duka anaona kila kitu. Meneja anaona tawi lake. Cashier anauza tu.

DukaAI Msaidizi

Uliza 'niuze nini zaidi?' au 'stoku ipi inaisha?' — DukaAI anakusaidia kwa Kiswahili.

Wateja Wako

Jua wateja wako — historia ya manunuzi, deni, na mawasiliano yote sehemu moja.

Masoko & SMS

Tuma ujumbe kwa wateja wako — matangazo, ofa, au ukumbusho wa deni kwa SMS.

Uchambuzi

Bidhaa zipi zinauzwa zaidi? Saa ngapi kuna rush? Data inakusaidia kufanya maamuzi.

Matawi

Duka moja au matano — simamia yote kutoka simu moja. Kila tawi na ripoti yake.

Miadi (Salon)

Wateja wapige miadi online. Jua ratiba ya kila fundi. Saluni yako, kidigitali.

Gharama

Rekodi gharama zote — kodi, umeme, mishahara. Jua faida halisi mwishoni mwa siku.

Angalia Kwa Undani

Kila kipengele
kimejengwa kwa makini

POS — Mauzo ya Haraka

Uza kwa sekunde 10. Kash, M-Pesa, au deni.

  • Tap bidhaa, ongeza kwenye kikapu
  • Chagua malipo — kash, M-Pesa, deni
  • Risiti kwa SMS moja kwa moja
  • Inafanya kazi hata bila internet
9:41
DukaOSDukaOS

Coca Cola

2,500

Fanta

2,000

Unga

15,000

Mafuta

8,500

Sukari

4,000

Sabuni

1,500

3 bidhaaTZS 19,500
Kash
M-Pesa
Deni
Nyumbani
POS
Bidhaa
Mauzo
Zaidi
Jinsi Inavyofanya Kazi

Hatua 3 tu. Basi.

Hakuna training. Hakuna hardware maalum. Fungua simu, anza.

HATUA 01

Sajili Duka Lako

Jina, nambari ya simu, aina ya duka — dakika 2 tu.

HATUA 02

Ongeza Bidhaa

Weka bidhaa zako na bei. Scan barcode au andika mwenyewe.

HATUA 03

Anza Kuuza

Tap bidhaa, chagua malipo — kash, M-Pesa, au deni. Basi!

Kwa nini DukaOS?

Simu Kwanza

Imebuniwa kwa simu — sio kompyuta. Inafanya kazi kwa smartphone yoyote.

Inafanya Kazi Offline

Umma umekatika? Endelea kuuza. Mauzo yote yanasync pindi internet ikirudia.

99.9% Uptime

Mfumo wetu unapatikana masaa 24/7. Tunakuhakikishia huduma ya kuaminika.

Data Salama

Data yako inalindwa na encryption. Backup kila siku, usalama wa juu.

Pakua

Pakua DukaOS

Pata DukaOS kwenye simu yako ya Android sasa hivi. iPhone na duka la Google zinakuja hivi karibuni.

9:41
DukaOSDukaOSLeo

Mauzo

TZS 847K

+23%

Faida

TZS 312K

+18%

Wiki Hii

J2J3J4J5AlJ7Jp

Mauzo ya Hivi Karibuni

Mama Amina · 2 bidhaa

+45,000
Nyumbani
POS
Bidhaa
Mauzo
Zaidi
Programu ya Simu

Inakuja Hivi Karibuni

Programu ya DukaOS kwa Android na iPhone inakuja hivi karibuni. Kwa sasa, tumia DukaOS kupitia mtandao kwenye kompyuta au simu yako.

Google Play — Inakuja hivi karibuniApp Store — Inakuja hivi karibuni

Wanachosema wateja wetu

Zamani nilikuwa naandika deni kwenye daftari na kupoteza pesa. Sasa najua kila mteja anayenidaiwa.

Mama Frida

Duka la Vyakula, Dar es Salaam

Siku ya kwanza niliweka bidhaa 200, wiki moja baadaye nilijua faida yangu halisi kwa mara ya kwanza.

John M.

Duka la Vifaa, Arusha

Inanifanya kazi hata bila internet. Mauzo yanarekodiwa na kusync baadaye. Nzuri sana.

Sarah K.

Saluni, Nairobi

Bei

Anza bure. Lipa ukikua.

Hakuna mkataba. Sitisha wakati wowote.

Kwa mweziKwa mwaka

Duka Basic

TZS 15,000/kwa mwezi
  • Wafanyakazi 3
  • SMS 100/mwezi
  • AI maombi 10/siku
  • Tawi 1
  • POS
  • Bidhaa & Stoku
  • Mauzo & Gharama
  • Ripoti
Chagua Basic
Maarufu zaidi

Duka Pro

TZS 25,000/kwa mwezi
  • Wafanyakazi 5
  • SMS 150/mwezi
  • AI maombi 10/siku
  • Tawi 1
  • Kila kitu katika Basic
  • Uchambuzi
  • Wasambazaji & Manunuzi
Chagua Pro
Matawi

Duka Business

TZS 40,000/kwa mwezi
  • Wafanyakazi 20
  • SMS 250/mwezi
  • AI maombi 15/siku
  • Hadi matawi 5
  • Kila kitu katika Pro
  • Msaada wa WhatsApp
Chagua Business

Jaribio la bure siku 14 — hakuna kadi ya benki inayohitajika

Tayari kuanza?

Sajili duka lako kwa dakika 2. Jaribio la bure siku 14. Hakuna malipo, hakuna kadi ya benki.

Sajili Duka Lako Sasa